sw_tn/gen/36/01.md

28 lines
623 B
Markdown

# Hivi ndivyo vizazi vya Esau (aliyeitwa pia Edomu)
"Hivi ndivyo vizazi vya Esau, ambaye pia anaitwa Edomu". Sentensi hii inatambulisha habari ya vizazi vya Esau katika Mwanzo 36:1-8. "Hii ni habari ya vizazi vya Esau, ambaye pia anaitwa Edomu"
# Ada ... Oholibama
Haya ni majina ya wake wa Esau.
# Eloni Mhiti
"Eloni kizazi cha Hethi" au "Eloni uzao wa Hethi". Hili ni jina la mwanamume.
# Ana ... Zibeoni ... Nebayothi
Haya ni majina ya wanamume.
# Mhivi
Hii ina maana ya kikundi kikubwa cha watu.
# Basemathi
Hili ni jina la mke mmoja wa Esau.
# Nebayothi
Hili ni jina la mtoto mmoja wa kiume wa Ishmaeli.