forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
674 B
Markdown
20 lines
674 B
Markdown
# Seiri
|
|
|
|
Hili ni eneo lenye milima katika eneo la Edomu.
|
|
|
|
# Hivi ndivyo mtakavyosema kwa bwana wangu Esau: Hivi ndivyo mtumishi wako Yakobo asemavyo: 'Nimekuwa ... mbele zako
|
|
|
|
Hii ina nukuu ndani ya nukuu. Nukuu ya moja kwa moja inaweza kuwekwa kama nukuu isiyo moja kwa moja. "Hivi ndivyo nataka ukamwambie bwana wangu Esau. Mwambie nimekuwa ... machoni pake."
|
|
|
|
# bwana wangu Esau
|
|
|
|
Yakobo anatumia lugha ya upole na anamtaja kaka yake kama "bwana wangu".
|
|
|
|
# mtumishi wakoYakobo
|
|
|
|
Yakobo anatumia lugha ya upole na anajiita mwenyewe kama "mtumishi wako".
|
|
|
|
# ili kwamba nipate kibali mbele zako.
|
|
|
|
Hapa "machoni" ina maana ya fikra na mawazo ya mtu. "ili kwamba unithibitishe"
|