sw_tn/gen/31/34.md

20 lines
490 B
Markdown

# Basi Raheli ... juu yake
Neno "basi" linatumika hapa kuweka alama ya badiliko kutoka kwa simulizi kwenda kwa taarifa ya nyuma kuhusu Raheli.
# tandiko
kiti kinachowekwa mgongoni mwa mnyama ili mtu aweze kukaa juu yake.
# bwana wangu
Kumuita mtu "bwana wangu" ni njia ya kumheshimu.
# siwezi kusimama mbele yako
"kwa sababu siwezi kusimama mbele zako"
# kwani nipo katika kipindi changu
Hii ina maana ya kipindi cha mwezi ambapo mwanamke hutokwa na damu kutoka kwenye uzazi wake.