# Basi Raheli ... juu yake Neno "basi" linatumika hapa kuweka alama ya badiliko kutoka kwa simulizi kwenda kwa taarifa ya nyuma kuhusu Raheli. # tandiko kiti kinachowekwa mgongoni mwa mnyama ili mtu aweze kukaa juu yake. # bwana wangu Kumuita mtu "bwana wangu" ni njia ya kumheshimu. # siwezi kusimama mbele yako "kwa sababu siwezi kusimama mbele zako" # kwani nipo katika kipindi changu Hii ina maana ya kipindi cha mwezi ambapo mwanamke hutokwa na damu kutoka kwenye uzazi wake.