sw_tn/gen/31/31.md

20 lines
769 B
Markdown

# kwa sababu niliogopa na kudhani kuwa ungeninyang'anya binti zako kwa nguvu ndiyo maana nikaondoka kwa siri
"Niliondoka kwa siri kwa sababu niliogopa ya kwamba ungewachukua binti zako kutoka kwangu kwa lazima"
# Yeyote aliyeiiba miungu yako hataendelea kuishi
Hii inaweza kuwekwa katika hali ya chanya. "Tutamuua yeyote aliyechukua miungu yako"
# Mbele ya ndugu zetu
Neno "zetu" lina maana ya ndugu wa Yakobo na inajumuisha ndugu za Labani. Ndugu wote watatazama kuhakikisha kila kitu ni cha haki na kweli.
# onesha chochote kilichochako nilichonacho na uchukue
"tafuta chochote tulichonacho ambacho ni chako na uchukue"
# Kwa maana Yakobo hakujua kwamba Raheli alikuwa ameviiba
Hii inabadilisha kutoka kwa simulizi kwenda kwa taarifa ya nyuma kuhusu Yakobo.