sw_tn/gen/31/26.md

32 lines
898 B
Markdown

# umewachukua binti zangu kama mateka wa vita
Labani anamzungumzia Yakobo kuchukua familia yake pamoja naye mpaka katika nchi ya Kaanani kana kwamba Yakobo aliwachukua mateka baada ya vita na anawalazimisha wao kuondoka nao. Labani anatia chumvi kwa sababu ana hasira na anajaribu kumfanya Yakobo asikie hatia kwa kile alichokifanya.
# umekimbia kwa siri
"kukimbia kwa siri"
# kwa sherehe
"kwa furaha"
# kwa matari na vinubi
Vyombo hivi ni vya muziki. "na kwa muziki"
# matari
chombo cha muziki chenye kichwa kama ngoma ambacho kinapigwa na kina vipande vya chuma kimekizunguka pembeni vyenye sauti pale chombo kikitikiswa.
# niwabusu wajukuu wangu
Hapa "wajukuu" wanajumlisha wajukuu wote wakiume na kike. "kubusu wajukuu wangu"
# Basi umefanya upumbavu
"umefanya upumbavu"
# Basi
Hapa haimaanishi "katika kipindi hiki" lakini inatumika kuvuta nadhari kwa lengo muhimu linalofuata.