sw_tn/gen/31/17.md

16 lines
512 B
Markdown

# wanawe
Yakobo aliwachukua watoto wake wote. Inataja watoto wa kiume pekee kwa sababu walikuwa muhimu kama warithi wake.
# Akawaongoza mifugo wake wote
"Akawaongoza mifugo wake wote" Hapa "mifugo" ina maana ya wanyama wake wote wa kufuga.
# wakiwemo wanyama aliowapata huko Padani Aramu
"wakiwemo mifugo wengine ambao aliwachukua umiliki alipokuwa Padani Aramu"
# Kisha akaenda kuelekea kwa Isaka baba yake katika nchi ya Kanaani
"Alienda katika nchi ya Kaanani, ambapo Isaka baba yake alikuwa akiishi"