# wanawe Yakobo aliwachukua watoto wake wote. Inataja watoto wa kiume pekee kwa sababu walikuwa muhimu kama warithi wake. # Akawaongoza mifugo wake wote "Akawaongoza mifugo wake wote" Hapa "mifugo" ina maana ya wanyama wake wote wa kufuga. # wakiwemo wanyama aliowapata huko Padani Aramu "wakiwemo mifugo wengine ambao aliwachukua umiliki alipokuwa Padani Aramu" # Kisha akaenda kuelekea kwa Isaka baba yake katika nchi ya Kanaani "Alienda katika nchi ya Kaanani, ambapo Isaka baba yake alikuwa akiishi"