sw_tn/gen/30/39.md

20 lines
444 B
Markdown

# Wanyama wakapandana
"Wanyama wa mifugo walizalishana" au "Wanyama walipandana"
# wakazaa watoto wenye milia, mabaka na wenye madoa
"wakazaa watoto weney milia na madoa"
# Yakobo akawatenga
Inaweza kuwekwa wazi ya kwamba hii ilitokea katika kipindi cha miaka kadhaa. "Katika kipindi cha miaka kadhaa iliyofuata, Yakobo akawagawanya"
# kuelekea
"kutazama kuelekea"
# kayatenga makundi yake mwenyewe pekee
"aliwatenganisha mifugo wake"