# Wanyama wakapandana "Wanyama wa mifugo walizalishana" au "Wanyama walipandana" # wakazaa watoto wenye milia, mabaka na wenye madoa "wakazaa watoto weney milia na madoa" # Yakobo akawatenga Inaweza kuwekwa wazi ya kwamba hii ilitokea katika kipindi cha miaka kadhaa. "Katika kipindi cha miaka kadhaa iliyofuata, Yakobo akawagawanya" # kuelekea "kutazama kuelekea" # kayatenga makundi yake mwenyewe pekee "aliwatenganisha mifugo wake"