forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
794 B
Markdown
24 lines
794 B
Markdown
# Rubeni akaenda
|
|
|
|
"Rubeni alitoka nje"
|
|
|
|
# Siku za mavuno ya ngano
|
|
|
|
Hapa msemo "siku za" ni sitiari yenye maana ya majira au kipindi cha mwaka. "katika kipindi cha mwaka cha mavuno ya ngano" au "wakati wa mavuno ya ngano"
|
|
|
|
# tunguja
|
|
|
|
Hili ni tunda ambalo linasemekana kuongeza uwezo wa kuzaa na kuongeza hamu ya mtu kulala na mpenzi wake. "tunda la upendo"
|
|
|
|
# Je ni jambo dogo kwako ... mme wangu?
|
|
|
|
"Je haujali ... mume wangu?" Hili ni swali la balagha limetumika kumkaripia Raheli. Swali hili linaweza kutafsiriwa kama kauli, "ni mbaya sana .. mume wangu"
|
|
|
|
# Je na sasa unataka ... pia?
|
|
|
|
Hili ni swali la balagha limetumika kumkaripia Raheli. Swali hili linaweza kutafsiriwa kama kauli, "Na sasa unataka ... pia?"
|
|
|
|
# Basi atalala nawe
|
|
|
|
"Basi Yakobo atalala" au "Basi nitamruhusu Yakobo alale"
|