sw_tn/gen/28/06.md

28 lines
553 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Simulizi inabadilika kutoka kwa Yakobo kuelekea kwa Esau
# Basi
Neno hili linatumiwa hapa kuweka alama ya badiliko kutoka kwa simulizi kwenda kwa taarifa ya nyuma kuhusu Esau.
# Padani Aramu
Hili lilikuwa jina lingine kwa ajili ya eneo la Mesopotamia, ambalo lipo eneo sawa na Iraki ya sasa.
# kuchukua mke
"kuchukua mke kwa ajili yake"
# akaona kwamba Isaka alikuwa amembariki
"Esau aliona pia ya kwamba Isaka alimbariki Yakobo"
# Usichukue
"Usichukue"
# wanawake wa Kanaani
"binti wa Kaanani" au "wanawake wa Kaanani"