# Taarifa ya Jumla: Simulizi inabadilika kutoka kwa Yakobo kuelekea kwa Esau # Basi Neno hili linatumiwa hapa kuweka alama ya badiliko kutoka kwa simulizi kwenda kwa taarifa ya nyuma kuhusu Esau. # Padani Aramu Hili lilikuwa jina lingine kwa ajili ya eneo la Mesopotamia, ambalo lipo eneo sawa na Iraki ya sasa. # kuchukua mke "kuchukua mke kwa ajili yake" # akaona kwamba Isaka alikuwa amembariki "Esau aliona pia ya kwamba Isaka alimbariki Yakobo" # Usichukue "Usichukue" # wanawake wa Kanaani "binti wa Kaanani" au "wanawake wa Kaanani"