sw_tn/gen/26/02.md

20 lines
443 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla
Yahwe anaanza kuzungumza na Isaka.
# akamtokea
"akamtokea Isaka"
# Usishuke kwenda Misri
Ilikuwa kawaida kuzungumzia kuondoka nchi ya ahadi kama "kushuka chini" kwenda sehemu nyingine.
# kwani kwako wewe na uzao wako, nitawapa nchi hii yote
"kwa maana nitakupa nchi hizi zote kwako na kwa uzao wako"
# nitatimiza kiapo nilichomwapia Ibrahimu baba yako
"Nitafanya kile nilichoahidi kwa Abrahamu baba yako kukifanya"