# Taarifa ya Jumla Yahwe anaanza kuzungumza na Isaka. # akamtokea "akamtokea Isaka" # Usishuke kwenda Misri Ilikuwa kawaida kuzungumzia kuondoka nchi ya ahadi kama "kushuka chini" kwenda sehemu nyingine. # kwani kwako wewe na uzao wako, nitawapa nchi hii yote "kwa maana nitakupa nchi hizi zote kwako na kwa uzao wako" # nitatimiza kiapo nilichomwapia Ibrahimu baba yako "Nitafanya kile nilichoahidi kwa Abrahamu baba yako kukifanya"