forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
664 B
Markdown
20 lines
664 B
Markdown
# akamwambia
|
|
|
|
"akamwambia Rebeka"
|
|
|
|
# Mataifa mawili ... atamtumikia mdogo
|
|
|
|
Hii ni lugha ya kishairi.
|
|
|
|
# Mataifa mawili yako katika tumbo lako
|
|
|
|
Hapa "mataifa mawili" yana maana ya watoto wawili. Kila mtoto atakuwa baba wa taifa moja. "Mataifa mawili yatakuja pamoja kutoka kwa mapacha ndani yako"
|
|
|
|
# na mataifa haya mawili yatatengana ndani yako
|
|
|
|
Hapa "mataifa mawili" ina maana ya watoto wawili. Kila mtoto atakuwa baba wa taifa moja. Hii inaweza kutafsiriwa kama kitenzi cha kutenda. "na utakapozaa hawa watoto wawili watakuwa wapinzani"
|
|
|
|
# mkubwa atamtumikia mdogo
|
|
|
|
Maana zaweza kuwa 1) "mkubwa atamtumika mdogo" au 2) "uzao wa mkubwa utamtumikia uzao wa mdogo"
|