sw_tn/gen/25/19.md

20 lines
434 B
Markdown

# Haya ndiyo yalikuwa matukio kumuhusu Isaka
Sentensi hii inatambulisha habari ya uzao wa Isaka katika Mwanzo 25:19-35:29. "Hii ni habari ya uzao wa Isaka, mwana wa Abrahamu"
# umri wa miaka arobaini
"umri wa miaka 40"
# alipomuoa Rebeka kuwa mke wake
"alipomuoa Rebeka"
# Bethueli
Bethueli alikuwa baba wa Rebeka.
# Padani Aramu
Hili lilikuwa jina lingine la eneo la Mesopotamia, ambalo lipo eneo lile lile na Iraq ya sasa.