# Haya ndiyo yalikuwa matukio kumuhusu Isaka Sentensi hii inatambulisha habari ya uzao wa Isaka katika Mwanzo 25:19-35:29. "Hii ni habari ya uzao wa Isaka, mwana wa Abrahamu" # umri wa miaka arobaini "umri wa miaka 40" # alipomuoa Rebeka kuwa mke wake "alipomuoa Rebeka" # Bethueli Bethueli alikuwa baba wa Rebeka. # Padani Aramu Hili lilikuwa jina lingine la eneo la Mesopotamia, ambalo lipo eneo lile lile na Iraq ya sasa.