forked from WA-Catalog/sw_tn
44 lines
1.3 KiB
Markdown
44 lines
1.3 KiB
Markdown
# Yule mtu
|
|
|
|
"Mtumishi"
|
|
|
|
# akamtazama msichana
|
|
|
|
"akamtazama Rebeka" au "alimtazama yule msichana"
|
|
|
|
# kuona
|
|
|
|
Kujifunza jambo huwa kunazungumzwa kana kwamba kinaweza kuona. "kujua" au "kukusudia"
|
|
|
|
# amefanikisha njia yake
|
|
|
|
"Kutimiza lengo la safari yake" au "alifanya safari yake iwe ya mafanikio". Unaweza kuiweka wazi nini mtumishi alijaribu kukusudia. "alimwonyesha mwanamke nani ambaye angekuwa mke wa Isaka"
|
|
|
|
# au la
|
|
|
|
unaweza kuweka kwa uwazi taarifa inayoeleweka. "au kutofanikiwa katika safari yake"
|
|
|
|
# pete ya pua ya dhahabu yenye uzito wa nusu shekeli
|
|
|
|
"pete ya pua ya dhahabu ambayo ilikuwa na uzito wa gramu sita". Uzito unaonyesha thamani ya pete hiyo. "pete ya pua ya dhahabu ya gharama"
|
|
|
|
# bangili mbili za dhahabu kwa ajili ya mikono yake zenye uzito wa shekeli kumi
|
|
|
|
"bangili mbili za dhahabu kwa ajili ya mikono yake zenye uzito wa gramu 110". Uzito unaonyesha ukubwa na thamani yao. "bangili mbili za dhahabu kwa ajili ya mikono yake"
|
|
|
|
# wewe ni binti wa nani
|
|
|
|
"Nani baba yako"
|
|
|
|
# Je kuna nafasi nyumbani mwa baba yako
|
|
|
|
"Je kuna nafasi katika nyumba ya baba yako"
|
|
|
|
# kwa ajili yetu
|
|
|
|
Ni wazi ya kwamba wanamume wengine walikuwa katika safari hii na mtumishi wa Abrahamu. Hapa "yetu" ina maana mtumishi na wale aliokuwa amesafiri pamoja naye.
|
|
|
|
# kupumzika usiku
|
|
|
|
"kukaa usiku huu" au "kukaa usiku wa leo"
|