sw_tn/gen/24/19.md

12 lines
308 B
Markdown

# Nitachota maji
"Nitafuata maji"
# Hivyo akaharakisha akamwaga maji yaliyokuwa mtungini
"Kwa hiyo aliyatoa maji ndani ya mtungi haraka"
# chombo cha kunywshea mifugo,
"chombo cha kunywshea wanyama". Chombo cha kunyweshea wanayma ni chombo kilicho wazi kinachoshikilia maji kwa ajili ya wanyama kunywa.