forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
804 B
Markdown
24 lines
804 B
Markdown
# Taarifa ya Jumla:
|
|
|
|
Mstari wa 8 ni muendelezo wa maelekezo Abrahamu alimpatia mtumishi wake.
|
|
|
|
# Lakini ikiwa mwanamke hatakuwa tayari kukufuata
|
|
|
|
"Lakini kama mwanamke anakataa kurudi pamoja nami." Abrahamu alikuwa akijibu swali la mtumishi wake kutoka 24:5.
|
|
|
|
# utakuwa huru katika hiki kiapo changu
|
|
|
|
"utafunguliwa kutoka kwa kiapo ulichokifanya kwangu". Kutokamilisha kiapo inazungumziwa kana kwamba mtu anakuwa huru kutoka kwa kitu ambacho kimemkamata. "hautapaswa kufanya kile ulichoapa kwangu ambcho ulipaswa kufanya"
|
|
|
|
# akaweka mkono wake jini ya paja la Abrahamu bwana wake
|
|
|
|
Hii ilikuwa ikionyesha ya kwamba hakika angefanya kile alichoapa kufanya.
|
|
|
|
# akaapa kwake
|
|
|
|
"akafanya kiapo kwake"
|
|
|
|
# kuhusiana na jambo hili
|
|
|
|
"kuhusu ombi la Abrahamu" au "ya kwamba angefanya kile alichoambiwa na Abrahamu"
|