sw_tn/gen/22/04.md

36 lines
730 B
Markdown

# Katika siku ya tatu
Neno "tatu" ni nambari ya mpango kwa ajili ya tatu. "Baada ya kusafiri kwa siku tatu"
# akaona mahali pakiwa mbali
"akaona kwa mbali sehemu ambayo Mungu alizungumzia"
# vijana wake
"watumishi"
# Tutaabudu
Neno "tutaabudu" ina maana ya Abrahamu pekee na Isaka.
# tutarudi hapa penu
"nitarudi kwako"
# akaziweka juu ya Isaka mwanawe
"akamfanya Isaka, mwanawe, kuibeba"
# Mkononi mwake
Hapa "mkononi mwake mwenyewe" inasisitiza ya kwamba Abrahamu mwenyewe alibeba vitu hivi. "Abrahamu mwenyewe alibeba"
# moto
Hapa "moto" ina maana ya sufuria yenye mkaa unaowaka au tochi au taa. "kitu cha kuanzishia moto"
# wote wawili wakaondoka pamoja
"waliondoka pamoja" au "wote wawili waliondoka pamoja"