# Katika siku ya tatu Neno "tatu" ni nambari ya mpango kwa ajili ya tatu. "Baada ya kusafiri kwa siku tatu" # akaona mahali pakiwa mbali "akaona kwa mbali sehemu ambayo Mungu alizungumzia" # vijana wake "watumishi" # Tutaabudu Neno "tutaabudu" ina maana ya Abrahamu pekee na Isaka. # tutarudi hapa penu "nitarudi kwako" # akaziweka juu ya Isaka mwanawe "akamfanya Isaka, mwanawe, kuibeba" # Mkononi mwake Hapa "mkononi mwake mwenyewe" inasisitiza ya kwamba Abrahamu mwenyewe alibeba vitu hivi. "Abrahamu mwenyewe alibeba" # moto Hapa "moto" ina maana ya sufuria yenye mkaa unaowaka au tochi au taa. "kitu cha kuanzishia moto" # wote wawili wakaondoka pamoja "waliondoka pamoja" au "wote wawili waliondoka pamoja"