forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
731 B
Markdown
16 lines
731 B
Markdown
# Lakini wale wanaume
|
|
|
|
"Lakini wageni wawili wa Lutu" au "Lakini malaika wawili"
|
|
|
|
# wanaume wakamkamata Lutu na kumweka ndani na wakafunga
|
|
|
|
Lugha yako inaweza kuongezea ya kwamba wanamume walifungua mlango kwanza. "wanamume walifungua mlango vya kutosha mpaka kunyosha mikono yao na kuvuta ... na kisha wakafunga"
|
|
|
|
# wageni wa Lutu wakawapiga kwa upofu wale wanaume
|
|
|
|
Msemo "wakawapiga kwa upofu" ni sitiari; wageni hawakuwapiga kwa mwili wanamume. "Wageni wa Lutu waliwapofusha wanamume" au "waliondoa uwezo wao wa kuona"
|
|
|
|
# vijana na wazee kwa pamoja
|
|
|
|
"wanamume wa umri wote". Hii lugha unasisitiza ya kwamba wageni walipofusha wanamume wote. Hii inaweza kumaanisha uwakilishi wa kijamii kuliko umri. "vijana na wazee kwa pamoja"
|