sw_tn/gen/17/24.md

12 lines
378 B
Markdown

# ni pamoja na wale waliozaliwa katika nyumba ile na wale walionunuliwa kwa fedha kutoka kwa mgeni
"Hii inajumlisha wale waliozaliwa katika nyumba yake na wale walionunuliwa kutoka kwa wageni"
# wale walionunuliwa kwa fedha kutoka kwa mgeni
Hii ina maana ya watumishi au watumwa
# wale walionunuliwa
Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "wale ambao amekwisha wanunua"