# ni pamoja na wale waliozaliwa katika nyumba ile na wale walionunuliwa kwa fedha kutoka kwa mgeni "Hii inajumlisha wale waliozaliwa katika nyumba yake na wale walionunuliwa kutoka kwa wageni" # wale walionunuliwa kwa fedha kutoka kwa mgeni Hii ina maana ya watumishi au watumwa # wale walionunuliwa Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "wale ambao amekwisha wanunua"