sw_tn/gen/17/01.md

28 lines
765 B
Markdown

# Abram alipokuwa na umri wa miaka tisini na tisa
miaka mia tisa na tisa - Msemo huu unatumika hapa kuweka alama ya mwanzo wa sehemu mpya ya simulizi.
# Mungu wa uwezo
"Mungu mwenye uweza wote" au "Mungu ambaye ana uwezo wote"
# Uende mbele yangu
Kuenda ni sitiari kwa ajili ya kuishi, na "mbele yangu" au "katika uwepo wangu" hapa ni sitiari kwa ajili ya kutii. "Ishi kwa namna nayotaka uishi" au "Kunitii"
# Kisha nitalithibitisha
"Iwapo utafanya hivi, basi nitathibitisha"
# nitalithibitisha agano langu
"Nitatoa agano langu" au "Nitafanya agano langu"
# agano
Katika agano hili Mungu anamuahidi kumbariki Abramu lakini pia anataka Abramu amutii.
# nitakuzidisha sana
"nitazidisha kwa wingi idadi ya vizazi vyako" au "nitakupatia vizazi wengi sana"