sw_tn/gen/14/01.md

16 lines
278 B
Markdown

# Taarifa ya Jumla:
Maeneno katika 14:1 yote ni miji inayojitegemea
# ikaja kuwa
Msemo huu unatumika hapa kuweka alama ya mwanzo wa sehemu mpya ya simulizi.
# katika siku
"katika muda wa"
# walifanya vita
"walienda vitani" au "walianzisha vita" au "walijiandaa kwa vita"