# Taarifa ya Jumla: Maeneno katika 14:1 yote ni miji inayojitegemea # ikaja kuwa Msemo huu unatumika hapa kuweka alama ya mwanzo wa sehemu mpya ya simulizi. # katika siku "katika muda wa" # walifanya vita "walienda vitani" au "walianzisha vita" au "walijiandaa kwa vita"