sw_tn/gen/11/31.md

12 lines
320 B
Markdown

# akamtwaa
Hapa neno "mwana wa" lina maana ya Tera.
# Sarai mkwewe, mke wa mwanawe Abramu
mkwewe, mwanawe mke wa Abramu - "mkwe wa Sarai, ambaye alikuwa mke wa mwanawe Abramu.
# Harani ... Harani
Haya ni majina mawili tofauti na yanaandikwa tofauti Kihebrania. Moja lina maana ya mtu na lingine lina maana ya mji.