# akamtwaa Hapa neno "mwana wa" lina maana ya Tera. # Sarai mkwewe, mke wa mwanawe Abramu mkwewe, mwanawe mke wa Abramu - "mkwe wa Sarai, ambaye alikuwa mke wa mwanawe Abramu. # Harani ... Harani Haya ni majina mawili tofauti na yanaandikwa tofauti Kihebrania. Moja lina maana ya mtu na lingine lina maana ya mji.