sw_tn/gen/11/01.md

24 lines
635 B
Markdown

# Sasa
Neno hili linaonyesha kuwa mwandishi anaanza sehemu mpya ya simulizi.
# nchi yote
watu wote juu ya nchi
# inatumia lugha moja na ilikua na usemi mmoja
Misemo hii miwili ina maana moja na inasisitiza ya kwamba watu wote walizungumza lugha moja.
# waliposafiri
"walihama" au "sogea pande zote"
# upande wa mashariki
Yawezekana maana ni 1) "mashariki" au 2) "kutoka mashariki" au 3) "kuelekea mashariki". Chaguo linalofaa ni "mashariki" kwa sababu Shinari ipo upande wa mashariki ambapo wasomi wanaamini safina ilikuja kutulia.
# wakakaa
waliacha kusogea kutoka sehemu moja hadi nyingine na wakaanza kuishi sehemu moja.