sw_tn/gen/07/21.md

20 lines
470 B
Markdown

# vilitembea juu
"vilisogea kote kote" au "vilitangatanga"
# viumbe hai vyote kwa wingi vilivyoishi juu ya nchi
Hii ina maanisha wanyama wote wanatembea kote kote juu ya nchi kwa makundi makubwa.
# vilivyo pumua pumzi ya uhai kwa njia ya pua
Hapa "pua" inawakilisha mnyama mzima au mwanadamu. "kila mtu apumuaye"
# pumzi ya uhai
Maneno "pumzi"na "uhai" yanawakilisha nguvu inayosababisha watu na wanadamu kuwa na uhai.
# vilikufa
Hii ina maana kifo cha kimwili