# vilitembea juu "vilisogea kote kote" au "vilitangatanga" # viumbe hai vyote kwa wingi vilivyoishi juu ya nchi Hii ina maanisha wanyama wote wanatembea kote kote juu ya nchi kwa makundi makubwa. # vilivyo pumua pumzi ya uhai kwa njia ya pua Hapa "pua" inawakilisha mnyama mzima au mwanadamu. "kila mtu apumuaye" # pumzi ya uhai Maneno "pumzi"na "uhai" yanawakilisha nguvu inayosababisha watu na wanadamu kuwa na uhai. # vilikufa Hii ina maana kifo cha kimwili