sw_tn/gen/04/20.md

24 lines
652 B
Markdown

# Ada ... Sila
majina ya wanawake
# alikuwa baba yao na wale walioishi hemani
Maana yake yaweza kuwa 1) "Alikuwa binadamu wa kwanza kuishi hemani" au 2) "Yeye na uzao wake waliishi hemani"
# walioishi hemani ambao wanafuga wanyama
watu wanaoishi hemani na kufuga wanyama
# alikuwa baba yao na wale wapigao kinubi na filimbi
Maana yake yaweza kuwa 1) "Alikuwa mtu wa kwanza kupiga kinubi na filimbi" au 2) "Yeye na uzao wake walipiga kinubi na filimbi".
# Tubal Kaini, mfua vyombo vya shaba na chuma
"Yubal Kaini. alitengeneza vyombo vya shaba na chuma"
# chuma
Hii ni metali yenye nguvu sana iliyotumika kutengeneza vyombo, vifaa na silaha.