sw_tn/ezr/09/08.md

20 lines
857 B
Markdown

# neema kutoka kwa Yahwe Mungu wetu imekuja
Mungu ameamua kuonyesha rehema imesemwa kwetu ikiwa neema angekuwa mtu ambaye anaweza kutembea. AT:"Yahwe Mungu wetu ameamua kuwa mwenyerehema kwetu na"
# ameendeleza agano kwa uaminifu kwa ajili yetu
Agano la uaminifu limesemwa kana kwamba ni kitu ambacho mtu anaweza kukishirikilia mkononi mwake na kukigawa kwa mtu mwingine kukichukua. AT:"alitoa ili iwe uaminifu kwetu sisi na kutunza Agano lake"
# mbele ya macho kwa mfalme wa Uajemi
Kiualisia mfalme asingeweza kuona hekalu, lakini alijua kuhusu kilichokuwa kinatokea katika Yerusalem. Hapa "macho" ni msemo kwa kile ambacho mtu anafahamu. AT:"Hivyo mfalme wa Uajemi alijua kuhusu hilo"
# Nyumba ya Mungu
hekalu
# atatupatia sisi msingi salama
Msingi ambao utawaweka watu salama ni fumbo kwa Yahwe atawalinda watu wake. AT:"atatulinda sisi salama"