sw_tn/ezr/09/08.md

857 B

neema kutoka kwa Yahwe Mungu wetu imekuja

Mungu ameamua kuonyesha rehema imesemwa kwetu ikiwa neema angekuwa mtu ambaye anaweza kutembea. AT:"Yahwe Mungu wetu ameamua kuwa mwenyerehema kwetu na"

ameendeleza agano kwa uaminifu kwa ajili yetu

Agano la uaminifu limesemwa kana kwamba ni kitu ambacho mtu anaweza kukishirikilia mkononi mwake na kukigawa kwa mtu mwingine kukichukua. AT:"alitoa ili iwe uaminifu kwetu sisi na kutunza Agano lake"

mbele ya macho kwa mfalme wa Uajemi

Kiualisia mfalme asingeweza kuona hekalu, lakini alijua kuhusu kilichokuwa kinatokea katika Yerusalem. Hapa "macho" ni msemo kwa kile ambacho mtu anafahamu. AT:"Hivyo mfalme wa Uajemi alijua kuhusu hilo"

Nyumba ya Mungu

hekalu

atatupatia sisi msingi salama

Msingi ambao utawaweka watu salama ni fumbo kwa Yahwe atawalinda watu wake. AT:"atatulinda sisi salama"