sw_tn/ezr/09/03.md

12 lines
377 B
Markdown

# Niliposikia haya
Ezra aliposikia kwamba Waisraeli wengi wameoa wanawake wa kigeni na walikuwa wakiabudu miungu yao
# nikachana nguo zangu na kanzu yangu na kunyoa nwele kichwani na ndevu
Ezra alikuwa akionyesha kila mmoja jinsi asivyopendezwa na watu walivyofanya mamboyaliyomchukiza Mungu
# sadaka za jioni
sadaka ambayo makuhani wangeitoa kipindi ambacho jua linazama