sw_tn/ezr/09/03.md

377 B

Niliposikia haya

Ezra aliposikia kwamba Waisraeli wengi wameoa wanawake wa kigeni na walikuwa wakiabudu miungu yao

nikachana nguo zangu na kanzu yangu na kunyoa nwele kichwani na ndevu

Ezra alikuwa akionyesha kila mmoja jinsi asivyopendezwa na watu walivyofanya mamboyaliyomchukiza Mungu

sadaka za jioni

sadaka ambayo makuhani wangeitoa kipindi ambacho jua linazama