forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
1009 B
Markdown
24 lines
1009 B
Markdown
# Tukatoka kwenda mto Ahava
|
|
|
|
"Tuliuacha mto Ahava" au "Tulianza kusafiri kutoka mto Ahava"
|
|
|
|
# Mto Ahava
|
|
|
|
hili ni jina la mto ambao unaosafiri kwenda sehemu inayoitwa ahava. Tafsiri hii kama ulivyofanya katika 8:21
|
|
|
|
# siku ya kumi na mbili ya mwezi wa kwanza
|
|
|
|
Hii ni mwezi wa kwanza wa kalenda ya kiebrania. Siku ya kumi na mbili ya karibu ya mwisho wa mwezi wa tatu kalenda ya magharibi.
|
|
|
|
# Mkono wa Mungu ulikuwa juu yetu
|
|
|
|
Mkono wa Mungu kuwa juu ya watu ni msemo wa Mungu kusaidia watu. AT:"Mungu alikuwa akitusaidia sisi"
|
|
|
|
# alitulinda kutoka kwenye mikono ya adui na wale...njiani
|
|
|
|
Mkono unawakilisha kile ambacho watu wangefanya. Inawalenga wao kuvamia kikundi ambacho walikuwa wanasafiri. AT:"alitulinda sisi kutokana na uvamizi wa adui na wale ambao walitaka kutuzuru tukiwa njiani" au " Aliwazuia maadui kutuvamia sisi na aliwazuia wanyanganyi kutotuzuru sisi tukiwa njiani"
|
|
|
|
# wale waliotaka kutunfanyia fujo sisi
|
|
|
|
Hii inamaanisha wezi na wanyanganyi ambao walitaka kuwavamia wao kwa kuchukua fedha.
|