sw_tn/ezr/08/31.md

1009 B

Tukatoka kwenda mto Ahava

"Tuliuacha mto Ahava" au "Tulianza kusafiri kutoka mto Ahava"

Mto Ahava

hili ni jina la mto ambao unaosafiri kwenda sehemu inayoitwa ahava. Tafsiri hii kama ulivyofanya katika 8:21

siku ya kumi na mbili ya mwezi wa kwanza

Hii ni mwezi wa kwanza wa kalenda ya kiebrania. Siku ya kumi na mbili ya karibu ya mwisho wa mwezi wa tatu kalenda ya magharibi.

Mkono wa Mungu ulikuwa juu yetu

Mkono wa Mungu kuwa juu ya watu ni msemo wa Mungu kusaidia watu. AT:"Mungu alikuwa akitusaidia sisi"

alitulinda kutoka kwenye mikono ya adui na wale...njiani

Mkono unawakilisha kile ambacho watu wangefanya. Inawalenga wao kuvamia kikundi ambacho walikuwa wanasafiri. AT:"alitulinda sisi kutokana na uvamizi wa adui na wale ambao walitaka kutuzuru tukiwa njiani" au " Aliwazuia maadui kutuvamia sisi na aliwazuia wanyanganyi kutotuzuru sisi tukiwa njiani"

wale waliotaka kutunfanyia fujo sisi

Hii inamaanisha wezi na wanyanganyi ambao walitaka kuwavamia wao kwa kuchukua fedha.