sw_tn/ezr/08/21.md

1.2 KiB

mto wa Ahava

Hili ni jina la bandari ambayo elekeza maji eneo linaloitwa Ahava. Angalia ulivyotafsiri Ahava na bandari katika 8:15.

kutafuta njia ilinyooka kutoka kwakwe kwa ajili yetu,watoto wadogo na mali zetu zote

Neno "kutafuta" inamaanisha kumwomba Mungu afanye kitu kwa ajili yao. Hapa "njia iliyonyooka" inawakilisha usalama wakati wanasafiri. AT:"tunapomwomba Mungu kutupa sisi, wadogo zetu, na mali zetu usalama wakati wa safari" au "Kumwomba Mungu kutulinda sisi, wadogo zetu na mali zetu zote wakati tunasafiri"

Mkono wa Mungu wetu uko pamoja na wale wanaomtafuta

mkono wa Mungu unapokuwa pamoja na watu ni msemo kuwa Mungu husaidia watu. Kumtafuta Mungu ni msemo kuwa kumtumikia yeye" AT:"Mungu husaidi wote a,bao wanamtumikia yeye"

lakini uweza wake na ghazabu yake ni juu ya wale wote wanaomwasi yeye

Uwezo wa Mungu na gjazabu kuwa juu ya watu ni msemo kwake kuwa atawaadhibu watu. kumsahau Mungu ni msemo kwamba kukataa kumtumikia yeye. AT:"lakini yeye hutoa adhabu kwa wote ambao wanakataa kumtumikia yeye"

Hivyo tulifunga na kumsihi Mungu kwa jambo hili

Hapa kumtafuta mungu ni msemo wa kumwomba mungu afanye kitu kwa ajili yao. AT:"Hivyo tulifunga na kumwomba Mungu atusaidie sisi"