forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
1.2 KiB
Markdown
20 lines
1.2 KiB
Markdown
|
# mto wa Ahava
|
||
|
|
||
|
Hili ni jina la bandari ambayo elekeza maji eneo linaloitwa Ahava. Angalia ulivyotafsiri Ahava na bandari katika 8:15.
|
||
|
|
||
|
# kutafuta njia ilinyooka kutoka kwakwe kwa ajili yetu,watoto wadogo na mali zetu zote
|
||
|
|
||
|
Neno "kutafuta" inamaanisha kumwomba Mungu afanye kitu kwa ajili yao. Hapa "njia iliyonyooka" inawakilisha usalama wakati wanasafiri. AT:"tunapomwomba Mungu kutupa sisi, wadogo zetu, na mali zetu usalama wakati wa safari" au "Kumwomba Mungu kutulinda sisi, wadogo zetu na mali zetu zote wakati tunasafiri"
|
||
|
|
||
|
# Mkono wa Mungu wetu uko pamoja na wale wanaomtafuta
|
||
|
|
||
|
mkono wa Mungu unapokuwa pamoja na watu ni msemo kuwa Mungu husaidia watu. Kumtafuta Mungu ni msemo kuwa kumtumikia yeye" AT:"Mungu husaidi wote a,bao wanamtumikia yeye"
|
||
|
|
||
|
# lakini uweza wake na ghazabu yake ni juu ya wale wote wanaomwasi yeye
|
||
|
|
||
|
Uwezo wa Mungu na gjazabu kuwa juu ya watu ni msemo kwake kuwa atawaadhibu watu. kumsahau Mungu ni msemo kwamba kukataa kumtumikia yeye. AT:"lakini yeye hutoa adhabu kwa wote ambao wanakataa kumtumikia yeye"
|
||
|
|
||
|
# Hivyo tulifunga na kumsihi Mungu kwa jambo hili
|
||
|
|
||
|
Hapa kumtafuta mungu ni msemo wa kumwomba mungu afanye kitu kwa ajili yao. AT:"Hivyo tulifunga na kumwomba Mungu atusaidie sisi"
|