sw_tn/ezr/08/15.md

583 B

Taarifa kwa ujumla

Neno "mimi" katika sura 8 linamaanisha Ezra. Yeye ni mhusika.

Taarifa kwa ujumla

Mstari 16 unajumuisha orodha ya majina ya wanaume

mto uliyokuwa unaelekea Ahava

Maana inaweza kuwa kwamba "bandari" ilkuwa 1)njia ya maji ambayo watu walitengeneza au 2) mto wa kawaida. Inaweza kutafsiriwa kwa njia moja ya ujumla. AT:"njia ya maji ambayo inaelekea Ahava"

Ahava

Hili ni jina la eneo

Shemaya

Tafssiri jina la mtu huyu kama ulivyofanya katika 8:12

Elnathani...Elnathani...Elnathani

Kulikuwa na uwezekano wanaume watatu pamoja waliofanana majina.