# Taarifa kwa ujumla Neno "mimi" katika sura 8 linamaanisha Ezra. Yeye ni mhusika. # Taarifa kwa ujumla Mstari 16 unajumuisha orodha ya majina ya wanaume # mto uliyokuwa unaelekea Ahava Maana inaweza kuwa kwamba "bandari" ilkuwa 1)njia ya maji ambayo watu walitengeneza au 2) mto wa kawaida. Inaweza kutafsiriwa kwa njia moja ya ujumla. AT:"njia ya maji ambayo inaelekea Ahava" # Ahava Hili ni jina la eneo # Shemaya Tafssiri jina la mtu huyu kama ulivyofanya katika 8:12 # Elnathani...Elnathani...Elnathani Kulikuwa na uwezekano wanaume watatu pamoja waliofanana majina.