sw_tn/ezr/07/24.md

256 B

Maelezo ya kuhusisha

Hii inaendelea kuhusisha agizo ambalo mfalme Artashasta alimpa Ezra.

Tutawapa taarifa wao kuhusu ninyi kwamba wasiwatoze ushuru au kodi

"Tumewaambia wao wasiwatoze ushuru au kodi"

mwanamuziki

watu wanaopiga vifaa vya muziki