# Maelezo ya kuhusisha Hii inaendelea kuhusisha agizo ambalo mfalme Artashasta alimpa Ezra. # Tutawapa taarifa wao kuhusu ninyi kwamba wasiwatoze ushuru au kodi "Tumewaambia wao wasiwatoze ushuru au kodi" # mwanamuziki watu wanaopiga vifaa vya muziki