sw_tn/ezr/07/08.md

764 B

mwezi wa tano

Huu ni mwezi wa tano kalenda ya Kiebrania. ni kipindi cha mwisho cha mwezi wa saba na sehemu ya awali ya mwezi wa nane katika kalenda ya Magharibi

siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza

Hii ni karibu katikati ya mwezi wa tatu katika kalenda ya Magharibi

siku ya kwanza ya mwezi wa tano

Hii ni karibu ya katikati ya mwezi wa sabakatika kalenda ya magharibi

mkono mzuri wa Mungu

"mkono" inaonyesha nguvu au uongozi ambao Mungu anatumia kwa matokeo mazuri.

Ezra akaendeleza moyo wa kujisomea

Kuendeleza moyo inamaanisha kuamua au kujitoa yeye binafsi kufanya kitu fulani. AT:"ezra alijitoa maisha yake katika kusoma"

kutoa nje

"kutii"

maagizo na sheria za Yahwe

Hizi ni sheria ambazo Mungu alizileta kwa Waisrael kwa kumtumia Musa