sw_tn/ezr/07/08.md

28 lines
764 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mwezi wa tano
Huu ni mwezi wa tano kalenda ya Kiebrania. ni kipindi cha mwisho cha mwezi wa saba na sehemu ya awali ya mwezi wa nane katika kalenda ya Magharibi
# siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza
Hii ni karibu katikati ya mwezi wa tatu katika kalenda ya Magharibi
# siku ya kwanza ya mwezi wa tano
Hii ni karibu ya katikati ya mwezi wa sabakatika kalenda ya magharibi
# mkono mzuri wa Mungu
"mkono" inaonyesha nguvu au uongozi ambao Mungu anatumia kwa matokeo mazuri.
# Ezra akaendeleza moyo wa kujisomea
Kuendeleza moyo inamaanisha kuamua au kujitoa yeye binafsi kufanya kitu fulani. AT:"ezra alijitoa maisha yake katika kusoma"
# kutoa nje
"kutii"
# maagizo na sheria za Yahwe
Hizi ni sheria ambazo Mungu alizileta kwa Waisrael kwa kumtumia Musa