sw_tn/ezr/07/06.md

12 lines
413 B
Markdown

# Mfalme akampa kila kitu alichoomba
"Mfalme akampa Ezra chochote alichoomba kwake"
# mkono wa Yahwe ulikuwa pamoja naye
"mkono" wa Yahwe unawakilisha baraka za Yahwe au kusaidia. AT:"baraka za Yahwe zilikuwa pamoja na Ezra" au "Yahwe alikuwa akimbariki Ezra"
# katika mwaka wa saba wa mfalme Artashasta
Hii inarejea mwaka wa saba wa kutawala kwake. AT:"katika mwaka wa saba ambao mfalme alikuwa Artashasta"